<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>54</hymn_number>
<lyrics>[V1]
 Yesu nataka kutakaswa sana,
 Nataka moyo uwe enzi yako.
 Ukiangushe kilichoinuka
 Unioshe sasa niwe mweupe.

[V2]
 Mweupe tu, ndiyo mweupe,
 Ukiniosha nitakuwa safi.

[V3]
 Bwaba Yesu, unitazame sasa,
 Unifanye niwe dhabihu hai;
 Najitoa kwako, na moyo wote;
 Unioshe sasa niwe mweupe.

[V4]
 Bwana kwa hiyo nakuomba sana,
 Nakungojea miguuni pako,
 Naomba unioshe damuni tu,
 Unioshe sasa niwe mweupe.

[V5]
 Bwana nidumu kukungojea,
 Niumbie moyo safi, Ee Mungu,
 Wanaokujia hutupi kamwe,
 Unioshe sasa niwe mweupe.</lyrics>
<title>Yesu Nataka Kutakaswa Sana TZR54</title>
</song>